Mtoto Mtundu
Mtoto Mtundu
Siima ni mtoto mtundu lakini mwerevuna mwenye mapenzi kwa watoto wenzie. Anayewapenda marafiki zake kisha na Juma., Aidha anawapenda wazazi na walimu wake lakini utundu wake unatishia kumvurugia mahusiano haya mazuri na masomo yake.Mbaya zaidi utundu wake unatishia kukatisha maisha yake mwenyewe.
Kwa upande mwingine walimu na wazazi wanaonyesha mfano mzuri wa kuigwa katika kulea na kuelimisha watoto kwa manufaa ya taifa.
Hi ni hadithi nzuri na yenye mafundisho mengi kwa watoto na inafaa kusomwa na kila mtotona hata wazazi wao na walimu.
| Weight | 500g |