Majigambo ya Wadudu
Majigambo ya wadudu ni kitabu kinachoeleza sifa na tabia za wadudu. Wadudu walikutana kwa lengo la kufahamiana na kumchagua Kiongozi wao. Mkutano wa uchaguzi uliendeshwa na Panzi kama mwenyekiti.Wadudu waliohudhuria ni Mende,Inzi,Kipepeo,Mbu,Nyuki,Mbung’o,Konokono, NgeJongoo,Sisimizi na Funza.
Kila mdudu alieleza sifa zake mbele ya wenzake ili aweze kuchaguliwa kuwa Kiongozi wao.
Michoro ya wadudu hao iliyomo kitabuni ni ya rangi na kwa hakika watoto wataipenda.Aidha, watoto watajifunza jinsi wadudu hao walivyo, sifa na tabia zao iliwaweze kujikinga na madhara wanayosababisha kwa binadamu
Nikitabu kizuri kwa watoto.
ISBN 978-9987-671-08-3
| Weight | 500g |