CHAI ASILIA
100% Pure organic products from Mgwao investment
Kinywaji lishe kilichotengenezwa kwa soya, Tangawizi, Mdalasini, Iliki, Krafuu na pilipili Manga chenye vitamini A,Bcomplex, C, D, E na kina madini ya chuma, Potasium, Manganese, calicium, Magnesium na zinc. Tia kijiko kimoja katika kikombe chenye maji ya moto au maziwa ,koroga na asali au sukari kwa ajili ya kifungua kinywa au kiburudisho
Sold By
No Specifications