Uchoyo Hauna Malipo
Uchoyo Hauna Malipo
Uchoyo Hauna Malipo ni hadithi inayohusu tabia ya wanafunzi wawil katika Shule ya Msingi. Watoto hao ni Kazimoto na Msemakwel. Siku moja mwalimu wao, Neema aliwapatia kila mmoja wao kasha la peremende kama zawadi kwa kuwahi Shuleni kila siku na kwa kuonyesha adabu nzuri kwa walimu.
Baada ya kupokea zawadi hizo kila mmoja alikuwa ana uamuzi wake.Kazimoto alijigawia Peremende moja tu na zilizosalia zote akawagawia wanafuzni wenzake.Lkini Msemakwel aliamua azile zote peke yake.
Ilitokea siku moja wanafunzi adhabu ya kupalilia shamba la shule. Katika kutekeleza adhabu hiyo wema wa kazimoto ukalipwa na uchoyo wa Msemakweli ukakosa malipo.
ISBN 978-9987-671-86-1