Mzee Alfabeti

Price:

9,000.00 TSh


Free Delivery 24 x 7 Support 30 Days Return
Shughuli za Anna za Kila Siku
Shughuli za Anna za Kila Siku
9,000.00 TSh
9,000.00 TSh
Majigambo ya Wadudu
Majigambo ya Wadudu
9,000.00 TSh
9,000.00 TSh

Mzee Alfabeti

https://kipepeoshop.co.tz/web/image/product.template/2974/image_1920?unique=ef135b1
(0 review)

Mzee Alfabeti ni kitabu kinachofundisha watoto Alfabeti kwa njia ya utenzi. Kinaanza kwa watoto kukutana na mzee aitaye Alfabeti, wakati wakitoka shuleni. Wanamwamkia na kumwomba maembe. Ili aweze kuwapa maembe, mzee Alfabeti anawakaribisha nyumbani kwake ili wakutane na watoto wake, wanaoitwa kwa majina mbalimbali.
Je, ni watoto gani hao? Je Mzee Alfabeti atawapatia watoto hao maembe?
Majibu ya maswali haya yamo kitabuni
ISBN 978-9987-671-23-6

9,000.00 TSh 9000.0 TZS 9,000.00 TSh

Not Available For Sale


  • Weight

This combination does not exist.



Sold By
( 0 / 5 )
Kagera, Tanzania

Share :
100% original guarantee
Return within 30days
Free delivery on all orders