ATASHA ZONE PRODUCTS Variant 2
BAOBAB POWDER ( UNGA WA UBUYU) 650g
Faida:
Chanzo bora cha Vitamini C – huongeza kinga ya mwili.
Hulainisha tumbo –husaidia katika usagaji chakula (nyuzinyuzi kwa wingi).
Husaidia katika afya ya ngozi – kutokana na vioksidishaji (antioxidants).
Hupunguza uchovu – kwa kuwa na madini kama chuma na potasiamu.
Hudhibiti sukari mwilini – husaidia kwa wenye kisukari.
Matumizi:
Kuchanganya na maji au juisi kama kinywaji cha asili.
Kuongezwa kwenye uji, unga wa lishe, au smoothies.
Kutumika kama kiambato kwenye vyakula vya afya (baking au cooking).
| Weight | 650g |